karibuni

chuki ikiingia ndani kupitia mlangoni upendo hutoka nje kupitia dirishani,upendo unagharama sana ukilinganisha na chuki,afadhali kununua upendo kuliko kuzawadiwa chuki na migogogro

January 15, 2007


HUYU NI NANI?

2 comments:

Simon Kitururu said...

uh mimi simjui.Je, ni nani?

Ndesanjo Macha said...

Nani huyu? Tutambulishe.