karibuni
chuki ikiingia ndani kupitia mlangoni upendo hutoka nje kupitia dirishani,upendo unagharama sana ukilinganisha na chuki,afadhali kununua upendo kuliko kuzawadiwa chuki na migogogro
January 15, 2007
mkutano wa haki za binadamu hapa ujerumani
mkutano wa haki za binadamu unatarajia kufanyika mwaka huu hapa ujerumani wakati mapendekezo ya ajenda za mkutano huu yakisisitiza ajenda iliyotupiliwa mbali na raisi mkidi wa marekani ya kaskazini kutiliwa mkazo ili kuboresha yale yaliyokataliwa katika mkutano uliopita huko Urusi julai mwaka jana kupewa kipao mbele.Soma zaidi hapa jinsi Bush anavyotoa matamko ya kidume dume http://ipsnews.net/interna.asp?idnews=34071 kwa kipindi kirefu sasa tumekuwa tukiongea tu kwa nadharia kuhusiana na hali halisi ya mwenendo wa haki za binadamu bila mafanikio ya vitendo,ni lini na ni kwa namna gani tutafikia katika utendaji wa nadharia bunifu zisizokuwa na utekeleza mbadala?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment