karibuni

chuki ikiingia ndani kupitia mlangoni upendo hutoka nje kupitia dirishani,upendo unagharama sana ukilinganisha na chuki,afadhali kununua upendo kuliko kuzawadiwa chuki na migogogro

January 09, 2007

naomba ukaribisho kama mwanablogger

dakika hii ni muhimu san kwangu kwa kuwa ndiyo mara ya kwanza kuknyaga katika kiwanja hiki cha blog ingawa nilikuwa na blog nyingine ambayo kwa sasa nitakuwa nikiitumia ka nadra ili kujipatia muda mwingi kaatika blog hii kwani nimetembelea wanablogger wa hapa na wamenipa moyo sana kuingia hapa.aliyenivuta sana mithili ya bwaba Yesu na Simoni Petro ni bwan Ndesanjo Macha.nitakuwa nikiwaletea mengi yanayojiri hapa ujerumani na ninaomba mnipokee kwa mikono miwili ili tudumishe utamaduni wa mwafrika .

5 comments:

Egidio Ndabagoye said...

Karibu bwana kingo katika ulimwengu huu utupe mengi sana ya hapo.

Karibu sana!

Ndesanjo Macha said...

Nakucheki! Poa kabisa. Nakukumbuka. Haya, safari ndio imeanza hiyo. Usiishie njiani tafadhali.

mwandani said...

Karibu sana. tutapita kukutembelea kila wakati!

NDABULI said...

Karibu karibu ukumbini tuzidi kupata Mitizamo tofauti

Simon Kitururu said...

Karibu Mzee!