
Hivi ndivyo ndoto za wengi kama mimi ninavyoota kila siku.hawa ni wajumbe wa kamati ya kupiga vita ubaguzi katika mji wa muniki.mimi ni huyo mwenye kofia ya ishara ya ushindi wa mwafrika.huyu mweupe ni mjeru na huyo mrefu anaitwa Jules kutoka congo na huyu aliyechuchu maa anaitwa MC kutoka kameroon.
2 comments:
NAKUSALIMU KWA JINA LA HAILE SELASSI I.
Wewe ni mshindi na utazidi kuwa mshindi,endelea na kasi hiyo hiyo,usikubali kurudi nyuma.
Nuff Nuff Respect Ras Kingo.
asante sana Ras kwa moyo huu wa kimapinduzi,tuko pamoja katika jaramba hili la mapambano hadi mwisho wa nyakati.kamata mtutu wa hisia kali za uzalendo ili kuleata ushindi.
jah bless Ras luihamu
Post a Comment