chuki ikiingia ndani kupitia mlangoni upendo hutoka nje kupitia dirishani,upendo unagharama sana ukilinganisha na chuki,afadhali kununua upendo kuliko kuzawadiwa chuki na migogogro
March 19, 2007
naomba anwani
nimejaribu kuingia katika blog ya wanablog wa Tanzania bila mafanikio nadhani nimekosea au nimepata anwani isiyo sahihi.Naomba anwani sahihi ili niweze kuingia kwa mafanikio.Nawatakia wakati mwema na shughuli nzuri.Ilunga
1 comment:
GREETINGS IN THE NAME OF THE MOST HIGH.
TEMBELEA BLOGU YANGU RAS,TUUNGANE TUBOMOE UKUTA WABABILONI SYSTEM.
NUFF NUFF RESPECT MAN.
Post a Comment